Kipalu'e

Kipalu'e ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapalu'e kwenye visiwa vya Palu'e na Flores. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kipalu'e imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipalu'e iko katika kundi la Kibima-Lembata.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search